Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, #TunduLissu akipinga ahirisho la shauri la Uhaini linalomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, amesema kuwa kesi inayomkabili ni ya kisiasa kwasababu ni mwaka wa uchaguzi mkuu, na yeye kukamatwa na kupewa kesi ya uhaini, siyo kwasababu ni mhaini, bali watu waende kwenye uchaguzi wasisumbuliwe na ‘No Reforms, No Election’
Lissu ameongeza kuwa kesi yake imechafua nchi na kuendelea kuahirishwa kwake kunaharibu taswira ya #Tanzania kwenye Jumuiya za Kimataifa na Duniani kwa jumla
Post a Comment