" USAILI UNAENDELEA CHUO CHA MADINI SHINYANGA KWA MWAKA WA MASOMO 2025/2026

USAILI UNAENDELEA CHUO CHA MADINI SHINYANGA KWA MWAKA WA MASOMO 2025/2026

🔵 USAILI UNAENDELEA CHUO CHA MADINI SHINYANGA KWA MWAKA WA MASOMO 2025/2026

“Quality is Our First Priority”

🎓 UNLOCK YOUR MINERALS POTENTIAL!
Fungua fursa za kitaaluma na mafanikio kupitia sekta ya madini, mafuta na gesi kwa kujiunga na Chuo cha Madini Shinyanga (ESIS) kwa mwaka wa masomo 2025–2026 unaoanza Septemba!


🟢 KOZI ZINAZOTOLEWA:

  • Exploration and Mining Geology

  • Petroleum Geology

Mafunzo haya ni kwa ngazi ya Cheti (Certificate) na Diploma, yakitolewa kwa ubora wa hali ya juu kwa nadharia na vitendo katika mazingira rafiki ya kujifunzia.


🟢 MIKOPO YA SERIKALI (HESLB) INATOLEWA!

Wanafunzi wote wanaokidhi vigezo vya HESLB wanaruhusiwa kuomba mkopo wa elimu ya juu kupitia mfumo wa serikali. ESIS imesajiliwa kikamilifu na inakubalika kwa wanafunzi wanaopata mikopo.


🔵 FAIDA ZA KUJIUNGA NA ESIS:

✅ Mazingira bora ya kujifunzia
✅ Walimu wenye uzoefu na umahiri
✅ Kozi zenye ushindani katika soko la ajira
✅ Ziara za kivitendo migodini na maabara
✅ Uwezeshwaji kupitia mikopo ya serikali (HESLB)
✅ Ushauri wa kitaaluma na ufuatiliaji wa mafanikio ya wanafunzi


📍 MAHALI: Ushirika, Shinyanga

🌐 Tovuti: www.esis.ac.tz
📞 Wasiliana Nasi:
+255 765 434 604
+255 687 434 617

📲 Instagram | Facebook | TikTok: @officialesis


🟩 JIUNGE NA CHUO CHA MADINI SHINYANGA – ANZA SAFARI YAKO YA KITAALAMU LEO!

Post a Comment

Previous Post Next Post