SIMBA SC YACHAPWA DUBAI MECHI YA KIRAFIKI
Misalaba
0
"
SIMBA SC imepoteza mchezo wake wa kwanza wa kirafiki baada ya kuchapwa bao 1_0 dhidi A Dhafra iliyopigwa leo Abu Dhabi.
Simba imepiga kambi Dubai itacheza mechi ya pili ya kirafiki dhidi ya CSK Moscow Januari 15 saa 10:00 jioni.
Post a Comment