" BERNARD MEMBE, AMEFARIKI DUNIA KATIKA HOSPITALI YA KAIRUKI

BERNARD MEMBE, AMEFARIKI DUNIA KATIKA HOSPITALI YA KAIRUKI

 


TANZIA: Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Awamu ya 4 na Mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo 2020, Bernard Membe, amefariki Dunia katika Hospitali ya Kairuki, Jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa Muda Mfupi
-
Bernard Membe alihudumu katika nafasi ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Mwaka 2007 hadi 2015.

Post a Comment

Previous Post Next Post