" FISTON MAYELE ACHUKUA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA AFRIKA KWA MWEZI APRILI

FISTON MAYELE ACHUKUA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA AFRIKA KWA MWEZI APRILI

 

Mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa mwezi Aprili.

Mayele ameshinda tuzo hizo zinazotolewa na jarida maarufu la michezo Barani Afrika Foot Africa.

Kura zilizopigwa;

Fiston Mayele (RDC/ Young Africans) - 30.50%

Iliman Ndiaye (Sénégal/ Sheffield United) - 28.00%

Vincent Aboubakar (Cameroun/ Besiktas) - 18.44%


Riyad Mahrez (Algérie/ Manchester City) - 12.17%

Youssef En Nesyri (Maroc/ FC Séville) - 6.14%

Mohamed Salah (Egypte/ Liverpool) - 4.75%

Post a Comment

Previous Post Next Post