" KIPA WA YANGA DJIGUI DIARRA AMEBEBA TUZO YA MLINDA LANGO BORA

KIPA WA YANGA DJIGUI DIARRA AMEBEBA TUZO YA MLINDA LANGO BORA

 

Mlinda lango wa Yanga Djigui Diarra amebeba tuzo ya mlinda lango bora ligi kuu ya NBC kwa msimu wa pili mfululizo baada ya kuondoka na cleansheet katika ushindi wa mabao 2-0 ambao Yanga wameupata dhidi ya Singida BS


Diarra amefikisha cleansheet 16 ambazo hakuna mlinda lango mwingine anaweza kuzifikia zikiwa zimesalia mechi tatu tu msimu kumalizika

Diarra amejihakikishia tuzo hiyo kwa msimu wa pili mfululizo, msimu uliopita aliondoka nayo pia

Post a Comment

Previous Post Next Post