RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA VIONGOZI WA SERIKALI KUANZA MCHAKATO WA KATIBA MPYA
Misalaba0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza `Kikao cha Viongozi mbalimbali wa Serikali kinachohusu kuanza kwa Mchakato wa Katiba mpya, kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 06 Mei 2023.
Post a Comment