" DIWANI VICTOR MKWIZU AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA SHULE ZA MSINGI NA NGOKOLO SEKONDARI MANISPAA YA SHINYANGA

DIWANI VICTOR MKWIZU AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA SHULE ZA MSINGI NA NGOKOLO SEKONDARI MANISPAA YA SHINYANGA

Na Mapuli Kitina Misalaba
Diwani wa kata ya Ngokolo Manispaa ya Shinyanga Mhe. Victor Mkwizu leo Ijumaa Februari 9,2024 amefanya ziara ya siku moja kutembelea, kukagua na kupokea changamoto katika shule mbalimbali ikiwemo Ngokolo sekondari na shule ya msingi Mwadui.
Diwani Mhe. Mkwizu amekagua na kuangazia hali ya ufaulu, uandikishaji, mikakati ya Mwaka na changamoto katika shule ya sekondari Ngokolo, shule ya msingi Mwadui na shule ya msingi Mapinduzi B ikiwa ni sehemu ya ziara yake leo.

Diwani wa kata ya Ngokolo Mhe. Victor Mkwizu upande wa kulia akisaini kwenye kitabu wa wageni katika shule ya sekondari Ngokolo Manispaa ya Shinyanga.

 

Post a Comment

Previous Post Next Post