" HII HAPA RATIBA YA ASKOFU WA JIMBO KATOLIKI SHINYANGA MHASHAMU LIBERATUS SANGU KATIKA KIPINDI CHA JUMA KUU

HII HAPA RATIBA YA ASKOFU WA JIMBO KATOLIKI SHINYANGA MHASHAMU LIBERATUS SANGU KATIKA KIPINDI CHA JUMA KUU


Misa ya Alhamisi kuu tarehe 28.03.2024 kuanzia saa 11:00 jioni (Kanisa kuu Ngokolo)

Ibada ya Ijumaa kuu tarehe 29.03.2024 kuanzia saa 9:00 alasiri (Kanisa kuu Ngokolo)
Misa ya Mkesha wa Pasaka tarehe 30.03.2024 kuanzia saa 3:00 usiku (Kanisa kuu Ngokolo)
Dominika ya Pasaka tarehe 31.3.2024 kuanzia saa 2:00 asubuhi (Parokia ya Shinyanga mjini)

Post a Comment

Previous Post Next Post