Asasi ya Vijana ya Youth - VDT yenye makazi yake katika Manispaa ya Shinyanga imeendelea kutoa msaada wa kofia kwa watanzania waishio na ulemavu wa ngozi katika Tarafa ya Mjini.
Akiongea katika makabidhiano, Mratibu wa asasi hii Bwana Nicholaus Luhende ameeleza kuwa, wameona ni vema kuwafikia ndugu waishio katika jamii kwani mara nyingi husahaulika kwa kuwa hawako vituoni.




Post a Comment