" DIWANI WA KATA YA KIRUMBA MHE. WESA JUMA AWAHIMIZA WANANCHI WAKE KUOMBA TENDA YA USAFI KWENYE SOKO LA KIRUMBA.

DIWANI WA KATA YA KIRUMBA MHE. WESA JUMA AWAHIMIZA WANANCHI WAKE KUOMBA TENDA YA USAFI KWENYE SOKO LA KIRUMBA.


Mhe Diwan wa Kata ya Kirumba Mhe, Wesa Juma amewataka Wananchi wa Kirumba Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela Waombe Tenda ya Usafi kwenye soko la Kirumba Kwa Sababu ya haliyepewa Tenda kuachia kazi iyoo lakini pia kutokizi vigezo 

Akizungumza katika Klinik ya kusikiliza na kutatua Kero za Wananchi wa Kata ya Kirumba amesema yeye kama Diwani hausiki kugawa Tenda za Usafi wanaousika kugawa Tenda za Usafi ni Halmashauri

Mhe Wesa ameendelea na Kliniki ya kusikiliza na kutatua Kero za Wananchi Ambapo katika Mkutano huo ametoa Majibu ya Changamoto mbalimbali ikiwemo na kutoa maelekezo kuhusiana na Ugonjwa wa kipindupindu

Katika Ziara hiyo Mhe Kali ameambatana na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi,Mtendaji na Maafisa












Post a Comment

Previous Post Next Post