" MAHAKAMA YAMUACHIA HURU ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA SIMIYU DKT. NAWANDA

MAHAKAMA YAMUACHIA HURU ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA SIMIYU DKT. NAWANDA

  

Mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Mwanza imemwachia huru bila sharti lolote aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu Dkt. Yahaya Nawanda katika kesi iliyikuwa inamkabili.

Nawanda alishitakiwa kwa kosa moja la ulawiti ambapo mahakama imeshindwa kumtia hatiani baada ya upande wa mashitaka kushindwa kuwasilisha ushahidi wa kujitosheleza kumtia hatiani.


Post a Comment

Previous Post Next Post