Mwandishi na msomi mashuhuri wa fasihi ya Kiafrika, Ngugi wa Thiong’o, amefariki dunia leo Mei 28, 2025 akiwa na miaka 87. Gwiji huyo wa kalamu alitumia maandiko yake kupinga ukoloni wa fikra, akitetea matumizi ya lugha za Kiafrika na uhuru wa kitamaduni.
Kutoka Weep Not, Child hadi Wizard of the Crow, kazi zake zilihamasisha kizazi kizima barani Afrika na duniani.
Post a Comment