Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi waliofurika Barabarani kumlaki alipowasili Mkoa wa Simiyu kwaajili ya ziara ya kikazi leo Juni 15,2025.
Shamrashamra za mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili Wilayani Busega Mkoani Simiyu tarehe 15 Juni, 2025.
Post a Comment