" Mama Alikataa Nimwoe Kwa Sababu Sina Degree Miaka Mitano Baadaye Nimeajiri Watoto Wake Wote

Mama Alikataa Nimwoe Kwa Sababu Sina Degree Miaka Mitano Baadaye Nimeajiri Watoto Wake Wote








Sikujua kama siku moja ningekuwa na nguvu ya kutabasamu kuhusu kisa hiki. Miaka michache iliyopita, nilikuwa mvulana wa kawaida tu niliyempenda msichana mmoja kupita maelezo. Alikuwa mpole, mrembo na mwenye ndoto kubwa. Tuliishi mtaa mmoja hapa Mwanza na uhusiano wetu ulianza kwa urafiki wa kawaida kabla haujakua upendo wa dhati.

Baada ya miaka miwili ya uchumba, nilipata ujasiri wa kumwambia kuwa nataka kumuoa. Alifurahi, lakini akaniambia lazima nikutane na mama yake kwanza kwa baraka. Niliona ni jambo la heshima, nikajiandaa vyema kwenda nyumbani kwao.

Nilipokutana na mama yake, mambo hayakuenda kama nilivyotarajia. Alinitazama juu chini, akaniuliza maswali ya kazi yangu, elimu yangu, na familia yangu. Nilikuwa nimemaliza shule ya sekondari lakini sikuweza kuendelea na chuo kikuu kwa sababu ya hali ya kifamilia. Nilikuwa nafanya biashara ya kuuza mitumba sokoni—sio biashara kubwa, lakini ilinisaidia kujikimu.

Baada ya mazungumzo mafupi, mama yake alinigeukia na kusema, “Mwanangu hawezi kuolewa na mtu ambaye hana degree. Tafuta mtu wa kiwango chako.”
Nilihisi kama dunia imenimeza. Mpenzi wangu hakusema lolote, alikaa kimya. Siku hiyo nilirudi nyumbani nikiwa nimevunjika moyo. Nililia usiku mzima. Baadaye, yule msichana alianza kujitenga polepole. Ndoto yetu ya ndoa ilizimika.



Sikuwa na mtu wa kumueleza maumivu yangu. Lakini ndani yangu, kitu kilizaliwa nia ya kuonyesha thamani yangu, si kwa wao, bali kwa nafsi yangu. Nilijiwekea malengo mapya. Nilipanua biashara yangu ya mitumba, nikaanza kuagiza nguo kutoka China kwa njia ya mtandao. Nilijifunza mengi kuhusu biashara kupitia video na vitabu. Baada ya miaka miwili, nilikuwa na maduka matatu ya nguo na nilikuwa nawaajiri vijana zaidi ya kumi.

Lakini hapo ndipo maisha yalianza kunivutia kwa njia nyingine. Nikiwa kwenye moja ya safari zangu kwenda Nairobi kununua mzigo, nilikutana na jamaa aliyekuwa na pete ya dhahabu yenye muundo wa kipekee.

Tulizungumza kwa muda na akaniambia kuhusu Kiwanga Doctors, wataalamu wa kusaidia watu waongeze mvuto wa kibiashara na kulinda mali dhidi ya macho mabaya. Niliamua kuwatafuta. Walinisaidia kwa kutumia pete ya bahati, ambayo si tu iliongeza wateja wangu bali ilinifanya pia kuheshimiwa zaidi kwenye jamii. Sikuamini jinsi biashara yangu ilivyopanuka hadi nikaanza kusambaza nguo Tanzania nzima.

Miaka mitano baada ya kukataliwa, nilikuwa na ofisi ndogo mjini na niliajiri vijana zaidi ya 30. Siku moja, nilipokea CV kutoka kwa binti aliyekuwa anatafuta kazi ya mauzo. Jina lake lilikuwa maarufu… kumbe ni mdogo wa yule msichana niliyetaka kumuoa zamani. Nilimwajiri. Baadaye dada yake pia alikuja kuniomba kazi. Hata mama yao alikuja kuniomba msaada wa mtaji wa kuanzisha biashara ya vyakula. Nilimsaidia bila chuki, ila kwa heshima.



Leo hii nina mke ambaye amenipenda kwa dhati, tunalea watoto wetu kwa upendo. Wakati mwingine naangalia nyuma na kutabasamu. Nisingekuwa hapa bila maumivu yale na msaada wa Kiwanga Doctors.

Kama uko kwenye hali ya kukataliwa au kuona huthaminiwi, usikate tamaa. Jaribu bahati yako kwa kuwasiliana na Kiwanga Doctors kupitia nambari +255 763 926 750. Wanaweza kukusaidia kupitia pete ya mvuto au ushauri wa kibiashara. Mimi ni ushuhuda hai kuwa kukataliwa si mwisho wa safari.

SOMA ZAIDI

Post a Comment

Previous Post Next Post