RAIS SAMIA AZINDUA KIWANDA CHA MAJARIBIO CHA KUCHENJUA URANI CHA MANTRA TANZANIA LIMITED MTO MKUJU, NAMTUMBO, RUVUMA
Misalaba0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Kiwanda cha Majaribio cha Kuchenjua Urani cha Mantra Tanzania Limited kilichopo katika Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, tarehe 30 Julai, 2025.
Post a Comment