" USIKOSE NAFASI! TUMA MAOMBI SASA KWENYE CHUO CHA MADINI SHINYANGA UPATE MAARIFA KATIKA SEKTA YA MADINI, MAFUTA NA GESI

USIKOSE NAFASI! TUMA MAOMBI SASA KWENYE CHUO CHA MADINI SHINYANGA UPATE MAARIFA KATIKA SEKTA YA MADINI, MAFUTA NA GESI

 

Karibu Chuo cha Madini Shinyanga Earth Sciences Institute of Shinyanga (ESIS) Mahali ambapo ubora ni msingi wetu na kila jiwe linachongwa kuwa hazina ya maarifa. Unapojifunza hapa, haupati tu elimu ya vitabuni, bali pia maarifa ya vitendo yanayokujenga kuwa mtaalamu anayehitajika katika sekta ya madini, mafuta, na gesi. Nafasi za Kujiunga Zipo Wazi! Mawasiliano Zaidi: 🌐 Tovuti: www.esis.ac.tz 📧 Baruapepe: info@esis.ac.tz 📱 WhatsApp: 0765434604 / 0687434617

GUSA LINK HAPA CHINI

APPLICATION FORM

Begin Your Minerals Journey at Earth Sciences Institute Of Shinyanga (ESIS)!

We are excited to announce that admissions are still open for our esteemed Certificate and Diploma in Exploration and mineral Geology, Petroleum Geology Programs.

Why Choose ESIS?

✓Expert and dedicated faculty.

✓Rigorous,comprehensive minerals curriculum.

✓Practical experience through mines, laboratory, mines tours and more.

✓Quality is our first priority.

Apply today and become a part of a vibrant academic community.


Post a Comment

Previous Post Next Post