Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro kuwa Katibu Mkuu mpya wa chama hicho.
Dkt. Migiro anachukua nafasi ya Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ambaye ameteuliwa kuwa Mgombea Mwenza wa CCM katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Uteuzi huo umetangazwa leo Agosti 23, 2025 jijini Dodoma katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) kinachoongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Samia Suluhu Hassan.
GUSA LINK HAPA CHINI👇
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Post a Comment