🟢FURSA YA ELIMU BORA KATIKA SEKTA YA MADINI NA MAFUTA – JISAJILI SASA KATIKA CHUO CHA MADINI SHINYANGA (ESIS)
📍 Earth Science Institute of Shinyanga
Anza safari yako ya kitaaluma kwenye Sekta ya Madini na Mafuta!
Udahili kwa ngazi ya Cheti (Certificate) na Diploma unaendelea kwa kozi zifuatazo:
✅ Exploration and Mining Geology (Utafiti na Uchimbaji wa Madini)
✅ Petroleum Geology (Jiolojia ya Mafuta na Gesi Asilia)
🟨 Pia, tunatoa Kozi Maalum za Muda Mfupi (Tailor Made Short Courses) kwa mahitaji ya wadau wa sekta ya madini na mafuta.
🎯 Wanafunzi wote wenye sifa ya kupata mkopo wa Serikali kupitia Bodi ya Mikopo (HESLB) watapata fursa hiyo kwa mujibu wa taratibu na vigezo vya Serikali.
📌 Jisajili Sasa Kupitia Mfumo wa Mtandao:
🌐 www.esis.ac.tz
📞 Mawasiliano:
+255 765 434 604
+255 687 434 617
GUSA LINK HAPA CHINI👇
🌐 Tovuti: www.esis.ac.tz
Post a Comment