
Wakaazi wa Mbezi Beach walishuhudia tukio lisilo la kawaida siku ya Jumatano, Julai 30, 2025, baada ya kijana mmoja kujichora jina la mpenzi wake wa zamani kwa mwili mzima akidai hawezi kuvumilia kumuona kwa mwanaume mwingine.
Kwa mujibu wa mashuhuda, kijana huyo aliyefahamika kwa jina la Edwin K., alionekana majira ya saa nne asubuhi akitembea bila shati katika mitaa ya Mbezi huku mwili wake mzima ukiwa umeandikwa jina “Sheila” kwa wino mkubwa wa kudumu. Maneno hayo yaliandikwa kwenye kifua, mgongo, mikono hadi mapajani. Alionekana pia ameshika ua la waridi mkononi, akisema linamwakilisha upendo wa milele ambao hauwezi kufutika.
“Tulifikiri ni maigizo ya mitandaoni,” alisema mlinzi wa duka jirani. “Lakini alipoanza kulia hadharani na kueleza alivyomuoa moyoni, tukajua hapa kuna jambo kubwa.”
Kwa mujibu wa majirani wa karibu, Edwin alikuwa kwenye uhusiano wa miaka mitatu na Sheila kabla ya kuachana miezi minne iliyopita baada ya binti huyo kudai kutopata msukumo wa kimapenzi kutoka kwake. Tangu kuachwa, Edwin amekuwa akijitenga kijamii, akiacha kazi na kukataa kuzungumza na mtu yeyote isipokuwa picha za binti huyo alizobandika chumbani kwake.
Wengi walidhani kijana huyo alishakubaliana na hali halisi, hadi siku hiyo alipojitokeza na mwili uliojaa jina la ex wake huku akisema, “Naweza kumpoteza kimwili, lakini rohoni bado ni wangu.”
Viongozi wa mtaa walimchukua kwa ajili ya ushauri nasaha, lakini kabla hawajampeleka, alishikilia kuwa hana matatizo ya akili, bali alifanya hayo baada ya kupata msukumo wa kipekee unaotoka ndani ya moyo wake. Alisema kuna jambo lilimgusa ghafla ndani ya wiki moja na kumshawishi kuchukua hatua hiyo.
Baadhi ya majirani walisema siku chache kabla ya tukio hilo, walimuona Edwin akitembea usiku peke yake, akinong’ona maneno ya ajabu huku akicheka peke yake. Wengine walidai walimuona akiwa amevaa mavazi meupe akielekea ufukweni usiku wa manane. Hakuna aliyeelewa ni nini kilikuwa kinaendelea hadi alipofanya kitendo hicho hadharani.
Mtu wa karibu na Edwin alisema kuwa kuna wakati alisafiri kimyakimya kwenda mkoani na aliporudi, alionekana mtu tofauti kabisa. Alianza kuwa mtulivu, mwenye kujiamini na hakuwa akilia tena. Wiki moja baadaye, akaonekana amejiandikia jina la mpenzi wake mwilini.
Tukio hilo limewaacha wengi midomo wazi huku baadhi ya watu wakisema ni la kishetani, wengine wakilitaja kama matokeo ya mapenzi ya dhati yanayotoka rohoni. Sheila mwenyewe hakupatikana kutoa maoni yake.
Kwa sasa Edwin amerejea nyumbani kwao lakini ameapa kuwa hataondoa maandishi hayo hadi siku atakayomwoa rasmi Sheila au afariki dunia.
Kwa watu wengi, kuachwa huleta maumivu makali yasiyosemekana. Lakini kuna walioweza kurejesha mahusiano yao yaliyosambaratika kabisa na kusimama tena kwa nguvu mpya. Hata pale ambapo kila mtu alisema haiwezekani, waliona baraka kubwa zisizotarajiwa.
Kama umeachwa, kusalitiwa au kuachwa na mpenzi wako ghafla na hujui la kufanya, unaweza kupata msaada wa haraka bila kupambana mwenyewe kila siku. Kuna njia ambazo zimesaidia wengi kurejesha wapenzi wao waliopotea hata baada ya miaka mingi.
Wasiliana kwa nambari hii sasa ili usaidike kuanza upya na ushinde mapambano ya moyo
Uvumilivu haumaanishi ukose msaada. Chukua hatua kabla hali haijakuchosha zaidi.
SOMA ZAIDI
Post a Comment