" Kipa wa Taifa STARS Kuzawadiwa Gari Aina ya CROWN Asipofungwa

Kipa wa Taifa STARS Kuzawadiwa Gari Aina ya CROWN Asipofungwa

 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewaahidi wachezaji wa Taifa Stars zawadi ya TZS milioni 20 pamoja na viwanja Kigamboni, Dar es Salaam.

Vilevile, Golikipa wa Tanzania iwapo hatoruhusu goli dhidi ya Morocco kwenye mechi ya robo fainali ya michuano ya CHAN 2024 atazawadiwa gari mpya aina ya Toyota Crown.

Mchezo huo utachezwa leo saa 2:00 usiku katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

 

Post a Comment

Previous Post Next Post