Na Mwandishi wetu, Misalaba Media Mtia nia wa Udiwan kata ya Luchelele Mpanju Elipdius ameendelea na ziala Ikiwa ni Siku ya Pili ya kuanza kwa ziala yake ya Kumwombea Dkt Samia Suluhu Hassan kura Kumwombea Nziranyingi Ntia Nia wa Ubunge na yeye pia Diwan.Mpanju amezunguka Nyumba kwa Nyumba akiongozana na viongozi wengine wa chama lakini pia Mtia Nia Uyooo amewataka wananchi wakapige kura siku ya 29 October na kukipigia Chama Mapinduzi Mhe, Rais ,Mbunge ,na yeye DiwanAkizungumza na wananchi wa Tawi la Kasamiko Amesema Lengo Lao Kama Chama ni kuhakikisha wanatafuta kura za Kishindo za Dkt Samia Suluhu Hassan kura za Mhe Mbunge lakini pia kura zake Diwan na kuwaeleza wananchi kazi zilizofanywa na Serikali ya Awamu ya sita na kuwaeleza kwanini wakiamini chama cha Mapinduzi.

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA






Post a Comment