" AICT KAMBARAGE CHOIR WAISHUKURU TAASISI YA THE BSL KWA KUWA SEHEMU MUHIMU YA USIKU WA SHUKURANI 2026 – ABUNDANT BLESSINGS

AICT KAMBARAGE CHOIR WAISHUKURU TAASISI YA THE BSL KWA KUWA SEHEMU MUHIMU YA USIKU WA SHUKURANI 2026 – ABUNDANT BLESSINGS

 AICT KAMBARAGE CHOIR WAISHUKURU TAASISI YA THE BSL KWA KUWA SEHEMU MUHIMU YA USIKU WA SHUKURANI 2026 

AICT Kambarage Choir inatoa shukrani za dhati kwa The BSL Investment Company Ltd kwa kujitoa na kuunga mkono maandalizi ya Usiku wa Shukurani 2026. "Tunatambua mchango wao mkubwa katika kubeba kazi ya Mungu kwa moyo wa upendo na huduma".

Kwa moyo huohuo wa shukrani, tunakaribisha wadau wengine, kampuni, taasisi na watu binafsi kujitokeza na kuwa wadhamini wa tukio hili. Kila mchango—mkubwa au mdogo—una nafasi kubwa katika kuandaa usiku wa ibada, shukrani na kumtukuza Mungu.

Karibuni nyote kushiriki baraka hizi kwa kuchangia au kuwa sehemu ya udhamini kupitia namba rasmi za kwaya.

Kwa mawasiliano ya udhamini na taarifa zaidi:

📞 0757 462 260

Post a Comment

Previous Post Next Post