
KWAYA YA AIC KAMBARAGE YAZINDUA TISHETI NA SWETA ZA USIKU WA SHUKURANI 2026
AIC KAMBARAGE CHOIR inapenda kuwataarifu wanakwaya, waumini, marafiki na wadau wote kuwa leo wamezindua rasmi tisheti na sweta maalum kwa ajili ya USIKU WA SHUKURANI utakaofanyika mwishoni mwa mwezi Januari 2026.
Vazi hizi zimedesigniwa kwa ubora wa hali ya juu, zikitolewa katika rangi mbalimbali, mikono mifupi, mikono mirefu pamoja na sweta za mvuto—ikiwa ni alama ya shukrani, ibada na umoja wetu kama kanisa.
Bei ni rafiki na zipo kwa kila mtu!
Toa sapoti yako mapema na uwe sehemu ya baraka tele zinazokuja.
MAWASILIANO YA MANUNUZI NA MCHANGO
📞 AIRTEL MONEY: 0685788063 – AIC Kambarage Choir
📞 AIRTEL LIPA NAMBA: 65879300 – AIC Kambarage Choir
Kwa maelezo zaidi na kuweka oda, wasiliana kupitia namba hizo au kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii.
VA’A NAFASI YAKO — BARAKA TELE ZAKUNG’ONGA!
JE UNAHITAJI KUWA MMOJA WA WADHAMINI/SPONSOR WA TUKIO KUBWA LA USIKU WA SHUKURANI-ABUNDANT BLESSINGS 2026?
Tafadhali wasiliana nasi kwa namba za simu +255(0)685 788 063, na kisha uchague sehemu/kipengele unachoweza kukisimamia ama kuchangia sadaka yako ili kufanikisha Ibada hii kubwa kwa Utukufu wa Mungu.
Unaweza kuchangia;
- Fedha taslimu
- Vitu halisi kwaajili ya kusaidia Wahitaji
- Usafiri
- Matangazo
- Mapambo
- Matenti na majukwaa
- Mifumo ya Taa
- Muziki
- Na kadhalika...
Tunaahidi Weledi na Heshima kwa Wadhamini wetu kwa kadri ya makubaliano yetu. Zaidi ya yote ni kwamba utakua umeshiriki kuugusa Moyo wa Mungu kwa kufanikisha Ibada hii inayokusudia kurudisha Shukurani kwake yeye Muumba wa Mbingu na Nchi.
Usisahau USIKU WA SHUKURANI 2026 NI BARAKA TELEE..🔥🔥🔥




































Post a Comment