PETER FRANK (MR. BLACK) ATEULIWA KUWA MWENYEKITI WA BODI YA SCOUT MKOA WA SHINYANGALeo tarehe 19/11/2025 kupitia mkutano mkuu maalum wa Baraza la Skauti mkoa wa Shinyanga uliofanyika mjini Shinyanga. Mkutano huo umeridhia kumteua na kumsimika Peter Alex Frank (Mr. Black) kuwa mwenyekiti wa bodi wa Scout mkoa. Nafasi hii inatoa ridhaa kwa Mr. Black kusimamia chama cha Scout kwa weledi na umakini zaidi. Mara baada ya kuteuliwa na kuapishwa ameahidi kubadili Scout Shinyanga kuwa na taswira mpya yenye maadili na misingi thabiti inayoendesha chama hicho.Mr. Black ameeleza mipango yake makini na ya kimkakati katika kuibadili, kuinyanyua na pia kuanzisha kampeni mbalimbali za makambi, huduma za kijamii na kukuza usajili wa scouts wapya zaidi.
Mr. Black


Mr. Black


















Post a Comment