
Yanga wako kwenye mazungumzo ya moja kwa moja na kiungo mshambuliaji wa Vipers,Raia wa Uganda,Allan Okello (25).
Rais wa Yanga amezungumza moja kwa moja na mchezaji huyo ili kutia wino January hii… Muda wowote kuanzia sasa chochote kinaweza kutokea.
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
Post a Comment