
Klabu ya Simba SC imemtangaza rasmi Kristopher Bergman kuwa kocha msaidizi mpya wa timu hiyo, ikiwa ni sehemu ya maboresho ya benchi la ufundi kuelekea mashindano yajayo ya ndani na kimataifa.
Uongozi wa Simba SC umeeleza kuwa ujio wa Bergman unalenga kuongeza ubora wa kiufundi, mbinu na uzoefu ndani ya benchi la ufundi, ili kuimarisha ushindani wa kikosi katika Ligi Kuu ya NBC, Kombe la Shirikisho pamoja na michuano ya CAF.
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
Post a Comment