" MARTIN AWAKILISHA MILLION 20 ZA COSMAS BONGO MSASA GOLD MINE

MARTIN AWAKILISHA MILLION 20 ZA COSMAS BONGO MSASA GOLD MINE

Mkuu wa Mkoa wa Geita Martin Shigela amawasilisha Mchango wa Mkurugenzi wakati Msasa Goldmine Million 20 katika Kumbukizi ya Miaka mitano ya kifo cha hayati Dkt John pombe Magufuri aliyekuwa Rais wa Awamu ya Jambo 

Zoezi Hilo ya Uchangishaji limeongozwa na Makamu wa Rais Dkt Emanuel Nchimbi katika wilaya ya Chato Mkoani Geita kuendeleza Ujenzi wa JPM wa kanisa katoliki ambapo zaidi ya Milion 400 kash na Ahadi kutoka kwa wadau Mbalimbali.

  • Wasiliana nasi:
    📍 East African Spirits (T) Ltd
    📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment

Previous Post Next Post