" CHADEMA KANDA YA SERENGETI YAMTAKA TUNDU LISSU AREJEE UWANJANI

CHADEMA KANDA YA SERENGETI YAMTAKA TUNDU LISSU AREJEE UWANJANI

 

Viongozi wa CHADEMA kutoka mikoa ya Shinyanga, Mara na Simiyu wamesisitiza serikali kumwachia Mwenyekiti wa chama hicho taifa, Tundu Lissu, ili aweze kuendelea na majukumu yake ya uongozi ndani ya chama.

Wito huo umetolewa wakati wa hafla iliyowakutanisha viongozi na wanachama wa chama hicho, ambapo pamoja na masuala mengine, walisisitiza umuhimu wa mshikamano na umoja ndani ya chama.

Viongozi hao walieleza kuwa uwepo wa Tundu Lissu ni muhimu katika kuendeleza shughuli za chama na kuimarisha uongozi wake kitaifa.

SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

  • Wasiliana nasi:
    📍 East African Spirits (T) Ltd
    📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment

Previous Post Next Post