Katika Mahafali ya wahitimu wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa leo tarehe 4 Julai 2026 Comrade Peter Frank (Mr. Black) akiwa ameambatana na Mgeni rasmi Naibu katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Comrade Musa Mwakitinya (MNEC).Katika mahafali hayo Mr. Black alipata wasaha wa kusema na vijana kuhusi kujitengenezea kesho njema kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) tangu wakiwa chuo. Pia alisisitiza kuhusu kulinda amani ya nchi kupitia kauli mbiu ya NEVER AGAIN. Cde. Peter Frank (Mr. Black) kupitia kampuni yake pia ametoa nafasi ya ajira kwa vijana watatu wahitimu wa mwaka huu kutoka vyuo vya Iringa ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za CCM na utekelezaji wa Ilani.Amemaliza kwa kuwaasa vijana kutambua thamani yao na utulivu katika mambo ya msingi.

SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment