Madereva wa Magari madogo ya kusafirisha abiria wamepewa elimu ya usalama barabarani kuhusu kuepuka ubebaji wa mizigo Kwa njia hatarishi.Akitoa elimu hiyo Askari Polisi wa Kikosi Cha usalama barabarani Mkoa wa Shinyanga Sajenti David Ndimila amewataka kuacha kubeba mizigo hiyo kinyume na uwezo wa gari husika ili kujiepusha na ajali zinazoweza kuepukika.Sajenti Ndimila amewaeleza madereva kuwa ajali nyingi hutokea kutokana na kubeba mizigo mikubwa kwenye gari pamoja na kuifunga vibaya.Aidha amewataka madereva hao kutii Sheria bila shuruti ili kufanikisha safari salama katika majukumu Yao.SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254



Post a Comment