" MZEE BOAZ DAUD TUNGU ALIYEJICHIMBIA KABURI LAKE MIAKA 8 ILIYOPITA AFARIKI DUNIA SHINYANGA

MZEE BOAZ DAUD TUNGU ALIYEJICHIMBIA KABURI LAKE MIAKA 8 ILIYOPITA AFARIKI DUNIA SHINYANGA

MZEE ALIYEJICHIMBIA KABURI LAKE MIAKA ZAIDI YA NANE ILIYOPITA AFARIKI DUNIA SHINYANGA Mzee Boaz Daud Tungu, mwenye umri wa miaka 97, maarufu Mzee aliyejichimbia kaburi lake mwenyewe zaidi ya miaka nane iliyopita katika Mtaa wa Ndembezi, Kata ya Ndembezi, Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, amefariki dunia Juni 30, 2026. Taarifa za kifo hicho zimetolewa kwa niaba ya familia na Robert Boaz, ambaye aliwahi kulitumikia Jeshi la Polisi Tanzania katika nafasi mbalimbali za uongozi, ikiwemo Kamanda wa Polisi katika mikoa kadhaa na baadaye Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) nchini Tanzania. Marehemu Boaz Daud Tungu ameacha familia, ndugu na jamaa wakiwa katika majonzi, huku maandalizi ya mazishi yake yakiendelea ambayo yanatarajiwa kufanyika kesho Jumapili.

SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

  • Wasiliana nasi:
    📍 East African Spirits (T) Ltd
    📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment

Previous Post Next Post