" RoadToTMIC2026 | USISIKIE KUHUSU FURSA. ZIFIKIE

RoadToTMIC2026 | USISIKIE KUHUSU FURSA. ZIFIKIE

 


Tanzania inaendelea kujenga mazingira bora ya uwekezaji katika sekta ya madini, na sasa fursa hizo zinakwenda kuunganishwa katika jukwaa moja kubwa la kimataifa.

📍 Tarehe 19–21 Novemba 2026, wawekezaji, viongozi wa Serikali, wataalamu na wadau wakuu wa sekta ya madini kutoka Tanzania na maeneo mbalimbali duniani watakutana katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania (TMIC 2026) utakaofanyika Jijini Dar es salaam.

Mkutano huu unalenga kutoa nafasi kwa washiriki kujenga mitandao ya kibiashara, kubadilishana uzoefu, kutafuta fursa za uwekezaji na kujadili namna ya kukuza uwekezaji wenye tija katika sekta ya madini.

Kwa wawekezaji, wafanyabiashara, wataalamu na wadau wanaotaka kuwa sehemu ya fursa zinazotokana na ukuaji wa sekta ya madini Tanzania, TMIC 2026 ni jukwaa muhimu la kuunganishwa na fursa halisi.

Usisikie kuhusu fursa. Zifikie.

📝 Jisajili kushiriki: https://conference.madini.go.tz/
📞 Kwa taarifa zaidi: +255 714 278620

#RoadToTMIC2026

SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

  • Wasiliana nasi:
    📍 East African Spirits (T) Ltd
    📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment

Previous Post Next Post