" POLISI MSIHANGAIKE KUNITAFUTA NAKUJA MWENYEWE HAPO CENTRAL MIMI SIO GAIDI” - DUDUBAYA

POLISI MSIHANGAIKE KUNITAFUTA NAKUJA MWENYEWE HAPO CENTRAL MIMI SIO GAIDI” - DUDUBAYA


Msanii wa muziki, Godfrey Tumaini maarufu kama Dudu Baya amesema amepokea wito wa

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi na kwamba atafika mwenyewe katika Kituo cha Polisi Centra

Kauli hiyo ya Dudu Baya imekuja baada ya Waziri Katambi kuagiza akamatwe na kufikishwa kituoni kwa ajili ya kuchukuliwa hatua zinazostahili.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Dudu Baya amesema “mimi si gaidi, si muuaji, si muuza dawa za kulevya, si mbakaji, sina tuhuma hizo.”

“Nakuja mimi mwenyewe hapa Central sasa hivi wala Polisi msihangaike kunitafuta, natoka hapa nyumbani kwangu Kariakoo na kuja.”

 

SHY TALENT FILMS - CONTENT YA MWISHO DRAMA

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

  • Wasiliana nasi:
    📍 East African Spirits (T) Ltd
    📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment

Previous Post Next Post