Velji Foundation ni Taasisi isiyo ya kiserikali na isiyo ya kibiashara (Non-Profit Organization) iliyoanzishwa kwa dhamira ya kuwawezesha akina mama na watoto kwa kuwapatia huduma muhimu za elimu, malezi na msaada wa kijamii.
Taasisi hiyo imedhamiria kuinua familia zilizo katika mazingira magumu, hususan akina mama jasiri, kwa kuunda fursa endelevu zitakazowawezesha kujenga kesho iliyo bora na yenye kujitegemea.
Kupitia mipango yake ya kielimu, programu mbalimbali za kijamii pamoja na huduma za msaada, Velji Foundation inalenga kuhakikisha kila mtoto anapata haki ya kujifunza, kukua na kustawi katika mazingira salama na yenye malezi bora.
PROFESSOR MGOKO EP 07
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254



Post a Comment