" MANISPAA YA SHINYANGA YASHINDA TUZO YA AFYA NA USAFI WA MAZINGIRA KUTOKA WIZARA YA AFYA

MANISPAA YA SHINYANGA YASHINDA TUZO YA AFYA NA USAFI WA MAZINGIRA KUTOKA WIZARA YA AFYA

 

Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga imekuwa mshindi wa kwanza mashindano ya Tuzo ya Taifa ya Afya na Usafi wa Mazingira mwaka 2022, kundi la Halmashauri za Manispaa Tanzania Bara kutoka Wizara ya Afya.

Tuzo hizo zimetolewa leo Novemba 19, 2022 Jijini Dodoma.

Post a Comment

Previous Post Next Post