" NDONDO CUP YAPIGWA PINI NA TFF "HATUNA TAARIFA YA MASHINDANO HAYO"

NDONDO CUP YAPIGWA PINI NA TFF "HATUNA TAARIFA YA MASHINDANO HAYO"

 

TAARIFA: Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupitia barua yake kwa umma limesema haijatoa kibali cha kuendeshwa kwa mashindano ya Ndondo Cup na mengine ambayo yanatangazwa kufanyika na kudai TFF pekee ndio wenye mamlaka ya kutoa kibali kwa mashindano yoyote yanayofanyika…

Post a Comment

Previous Post Next Post