
MC, mzungu mweusi Events kwa kushirikiana na jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga sasa nimguu kwa mguu hadi kata ya Chibe Manispaa ya Shinyanga akiongozwa na kampeni ya kataa uhalifu toa Taarifa Shinyanga bila uhalifu inawezekana.
Kampeni hii
inaambatana na bonanza la michezo ikiwa nisehemu ya kuboresha bonanza hilo .
Kumbuka elimu ya
kupinga vitendo vya ukatili itatolewa,Elimu ya bima ya afya ya CHF iliyo
boreshwa itatolewa ,Elimu ya chanjo ya Uviko 19 itatolewa,Elimu ya kuhifadi
miundo mbinu ya barabara na vyanzo vya maji pia itatolewa.
KUMBUKA TAKRIBANI ZAIDI YA WANANCHI 400 WATAKUWEPO KATIKA UWANJA WACHIBE KUSHUDIA KAMPENIHII.
Ewe mdau wamaendeleo tuungane pamoja kipinga vitendo vya uhalifu na ukatili Shinyanga.
Kama unahitaji kushiriki kampeni hii nipigie simu na 0762421248 hii siyakukosa ni jumamosi tarehe 15 ,mwezi 4 ,2023.
Post a Comment