
Mwimbaji wa muziki wa Bongo Fleva kutoka Mkoa wa
Shinyanga, Map Mastar MKM (Mapuli Misalaba) wiki hii siku ya Ijumaa April
14,2023 anatarajia kutambulisha Video ya
wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina – Kataa Ukatili.
Msanii huyo ambaye pia ni kiongozi kwenye kampeni ya Shujaa wa Maendeleo na Ustawi wa
Jamii Tanzania (SMAUJATA) katika nafasi ya mwenyekiti wa kamati ya uhamasishaji
SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga.
Amesema aliandaa wimbo huo ili kuisaidia serikali kuhamasisha jamii kutoa taarifa za ukatili katika Taifa hili la Tanzania.
Post a Comment