" RATIBA YA ASKOFU WA JIMBO KATOLIKI SHINYANGA MHASHAMU LIBERATUS SANGU KATIKA MAADHIMISHO YA JUMA KUU

RATIBA YA ASKOFU WA JIMBO KATOLIKI SHINYANGA MHASHAMU LIBERATUS SANGU KATIKA MAADHIMISHO YA JUMA KUU

Ratiba ya Askofu wa Jimbo Katoliki Shinyanga Mhashamu LIBERATUS T.K. SANGU katika Maadhimisho ya Juma kuu 2023

MISA YA ALHAMISI KUU: SAA 11:00 JIONI, KANISA KUU NGOKOLO.

IBADA YA IJUMAA KUU: SAA 9:00 ALASIRI, KANISA KUU NGOKOLO.

JUMAMOSI KUU: SAA 2:00 USIKU, KANISA KUU NGOKOLO

JUMAPILI YA PASAKA: SAA 2:00 ASUBUHI, KANISA KUU NGOKOLO

IKUMBUKWE KUWA: SIKU YA IJUMAA KUU IBADA YA NJIA YA MSALABA KATIKA KANISA KUU NGOKOLO ITAANZA SAA 7:00 MCHANA

 

Post a Comment

Previous Post Next Post