" Tanzia : MFANYABIASHARA MAARUFU MUSOMA FOOD AFARIKI DUNIA

Tanzia : MFANYABIASHARA MAARUFU MUSOMA FOOD AFARIKI DUNIA

 

Mfanyabiashara wa nafaka mkoa wa Shinyanga Said Makilagi maarufu Musoma Food amefariki dunia. 

Taarifa za awali zinasema Musoma Food amefariki dunia jijini Mwanza leo Jumatatu Aprili 3,2023. 
Taarifa zaidi tutawaletea hivi punde.

Chanzo - Malunde 1 Blog

Post a Comment

Previous Post Next Post