" BEI ZA MAFUTA TANZANIA ZAPANDA

BEI ZA MAFUTA TANZANIA ZAPANDA



Bei ya petroli na dizeli iliyopokelewa kupitia Bandari ya Dar es Salaam imepanda kama ifuatavyo;

Petroli: TZS 90/lita

Dizeli: TZS 24/lita

Bei ya mafuta ya taa imepungua kwa TZS 99/lita.

Post a Comment

Previous Post Next Post