" HABARI PICHA ZIARA YA MBUNGE WA JIMBO LA SENGEREMA TABASAM HAMIS MWAGAO KATIKA KATA YA CHIFUNFU NA KATA YA KATUNGURU.

HABARI PICHA ZIARA YA MBUNGE WA JIMBO LA SENGEREMA TABASAM HAMIS MWAGAO KATIKA KATA YA CHIFUNFU NA KATA YA KATUNGURU.

HABARI PICHA ZIARA YA MBUNGE WA JIMBO LA SENGEREMA TABASAM HAMIS MWAGAO KATIKA KATA YA CHIFUNFU NA KATA YA KATUNGURU.

Mbunge wa Jimbo la Sengerema mkoani Mwanza Tabasam Hamis akizungumza na wanachama wa Chama cha Mapinduzi katika kata ya Chifunfu

Mbunge wa Jimbo la Sengerema Mkoani Mwanza Tabasam Hamis Mwagao akizungumza na wanachama wa Chama cha Mapinduzi katika kata ya Chifunfu
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakiwa wamependeza kwa sare ya chama hicho baada ya Mbunge wao kutoa zawadi hiyo.
 Wanachama wa Chama cha Mapinduzi katika kata ya Chifunfu wakimsiliza Mbunge wao Tabasam Hamis Mwagao katika kikao cha Mkutano Mkuu wa kata hiyo.

Mbunge wa Jimbo la Serengerema Tabasam Hamis Mwagao akishiriki zoezi la kugawa chakula kwa Wanachama wa Chama cha Mapinduzi katika kata ya Chifunfu.

Wanachama wa Chama cha Mapinduzi katika kata ya Katunguru wakiwa katika kikao cha Mkutano Mkuu wa kata hiyo wakiwa wanamsikiliza Mbunge wa Jimbo wao Tabasam Hamis Mwagao

Mbunge wa Jimbo la Sengerema Mkoani Mwanza Tabasam Hamis Mwagao akizungumza na wanachama wa CCM katika kata ya Katunguru

Mbunge wa Jimbo la Serengerema Tabasam Hamis Mwagao akishiriki zoezi la kugawa chakula kwa Wanachama wa Chama cha Mapinduzi katika kata ya Katunguru.

Mbunge wa Jimbo la Sengerema Mkoani Mwanza Tabasam Hamis Mwagao akizungumza na wanachama wa CCM katika kata ya Katunguru

Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakiwa wamependeza kwa sare ya chama hicho baada ya Mbunge wao kutoa zawadi hiyo.

Post a Comment

Previous Post Next Post