" SIMBA SC YACHAPWA NA AL AHLY 1-0, MCHEZO WA ROBO FAINAL CAFCL

SIMBA SC YACHAPWA NA AL AHLY 1-0, MCHEZO WA ROBO FAINAL CAFCL

 NA 

KUPOTEZA kwa Simba kwenye robo fainali ya kwanza Uwanja wa Mkapa kunaongeza ugumu kwa timu hiyo kutinga hatua ya nusu fainali.

Wachezaji wa Simba watajilaumu wenyewe kuwa kwenye mwendelezo wa kukwama kutumia nafasi ambazo walizitengeneza ndani ya dakika 90.

Haijaisha mpaka iishe kazi itakuwa kwa Yanga Machi 30 kufunga mchezo wa hatua ya robo fainali dhidi ya Mamelodi Sundowns, Uwanja wa Mkapa.

FT:Uwanja wa Mkapa

Ligi ya Mabingwa Afrika

Ahmed Kaoka goal dakika ya 5

Simba 0-1 Al Ahly

Uwanja wa Mkapa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kila timu zinavuja jasho kusaka ushindi ili kusonga mbele hatua ya nusu fainali.

Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika Al Ahly wanacheza kibingwa mbele ya Simba iliyokubali kuhushudia bao la mapema likizama nyavuni dakika ya 5.


Post a Comment

Previous Post Next Post