
Masumbuko Shigita ambaye ni Mjasiliamali wa kuuza
Mchele Wilaya ya kwimba Mkoani Mwanza Amepongeza Taasisi ya GS1 ambayo imetoa
Semina ya kuwajengea uwezo Wajasiliamali na kuhakikisha wanafika Masoko ya Nje.
Shigita amesema kupitia Mafunzo aliyoyapata yanaenda
kuleta Mabadiliko katika ujasiliamali wake alisema wakati Mwingine tumekuwa
tukishinda kufika kwenye Masoko ya Nje kutokana na kutokuwa na Elimu ya
Ujasiliamali lakini uwepo wa hiii Taasisi utasaidia kutuletea Mabadiliko Kwenye
Biashara zetu
Akizungumza na Misalaba Media ameishukuru Selikali
ya awamu ya Sita kwa chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapa Mikopo ya
Asilimia kumi hii inadhihilisha zaili kuwa Serikali yetu haibagui.
Shigita Amewaomba Vijana kuchangamkia fursa ya Mkopo
wa Asilimia kumi kwa maana inaenda kuwakomboa katika kipindi hiki kigumu
kupitia Mafunzo haya ya leo yataleta
mabadiliko kwenye Ujasiliamali wake.




Post a Comment