BOSI AFUKUZWA KAZI KWA KUTAZAMA VIDEO ZA NGONO OFISINI!
Katika hii dunia kuna watu
ambao wana roho za ajabu sana, unaweza kukuta mtu anakuchukia na kukufanyia
mambo ya ajabu na aibu bila kujua sababu hasa ni ipi.
Unajikuta unajiuliza kama
ulishawahi kumkosea mahali?, hapana!, ulishawahi hata kumchukulia kitu chake?,
hapana!. Sasa chuki yote hii inatoka wapi?.
Haya ndio maswali
niliyokuwa najiuliza mimi Lulu kila mara baada ya Bosi wangu kuwa na chuki ya
waziwazi kwangu, alifanya mambo mengi ya kunikomoa ikiwa ni pamoja na kuninyima
likizo, kunikata mshahara kwa kosa ambalo hata sijafanya, alishawahi kunikata
Sh100,000 kwa madai kuwa nilichelewa
kazini kitu ambacho sio kweli.
Hadi wafanyakazi wenzangu
walikuwa wananionea huruma na kuamua
kwenda kuniombea msamaha kama kuna sehemu nilimkwaza Bosi wangu, anisamehe.
Aliwasikiliza na kuwaambia wakiendelea kufuatilia jambo hilo atawafukuza kazi
wote.
Mfanyakazi mwenzangu
aitwaye Rose aliniambia tuonane wikiendi inayofuata ana habari njema kwangu,
basi wikiendi ilipowadia niliweza kukutana naye nyumbani kwake, tulizungumza
mengi ila kubwa zaidi aliniambia anaweza kunisaidia kuhusu manyanyaso nayopata
kwa Bosi wangu.
Nilimwambia itakuwa vizuri
maana nilitakiwa kuongezwa mshahara takribani miezi saba lakini Bosi hajafanya
hivyo licha ya mkataba wangu kueleza hilo wazi wazi.
Basi Rose alichukua simu
yake na kunitajia namba hii +255618536050 na kuniambia ni ya Dr Bokko ambaye
ataweza kunisaidia kwa haraka.
Nilimpigia pale pale nikiwa
na Rose na kumueleza jinsi Bosi wangu amekuwa akinitesa na kugoma kuniongezea
mshahara, basi Kiwanga aliniambia niwe na subra kwani muda wa siku tatu hali
itakuwa shwari.
Kesho yake kazi tulishangaa
Mkuu wa Taasisi kaja ofisini kwetu na sio utaratibu wake kuja bila taarifa,
ghafla ilitangazwa kuwa atakuwa na mkutano na wafanyakazi wote.
Katika ule mkutano Mkuu wa
Taasisi alitangaza kumfukuza kasi Bosi kwa madai alikuwa akitumia Komputa na
iPad ya ofisi kutazama Ponographia jambo ambalo ni kinyume na maadili na kiapo
alichoaapa kukisimamia.
Basi Bosi yule aliondoka
kwa aibu kubwa na baada ya wiki alikuja Bosi mpya.
Huyu Bosi mpya anapenda
wafanyakazi wote bila ubaguzi wowote, baada ya wiki moja aliniita ofisini kwake
na kuniambia kuwa ameniongeza mashahara wangu mara mbili kwani mkataba wangu
unaonyesha nilipaswa kuongezwa mashahara muda mrefu.
Nilimshukuru sana Bosi ila
moyoni kwa asilimia kubwa namshukuru Dr Bokko kwa kunisaidia kumuumbua mbaya
wangu tena kwa aibu kubwa!.
Pia Dr Bokko anaweza kukufanya
kushinda bahati nasibu, kukupa mvuto wa kibiashara na mapenzi, kuwathibiti adui
zako, kushinda kesi mahakamani, kubaina anayechepuka na mume au mke wako.
Mwisho.