" RAIS SAMIA ASHIRIKI MJADALA WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI ARUSHA

RAIS SAMIA ASHIRIKI MJADALA WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI ARUSHA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mjadala wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) katika maadhimisho ya miaka 25 ya Jumuiya hiyo Jijini Arusha,!leo tarehe 29 NOVEMBA, 2024.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni pamoja na Marais mbalimbali wakishiriki Mjadala wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) katika maadhimisho ya miaka 25 ya Jumuiya hiyo Jijini Arusha,!leo tarehe 29 NOVEMBA, 2024.

Post a Comment

Previous Post Next Post