HomeBURUDANI Download VIDEO | Jux Ft. Diamond Platnumz – Ololufe Mi Misalaba November 13, 2024 0 Misalaba Media inakukaribisha kusikiliza na kutazama wimbo mpya wa JUMA JUX ambao amemshirikisha Supastaa wa Bongo Fleva na CEO wa Lebo ya WCB, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, unaokwenda kwa jina la ‘Ololufe Mi’. Pakua sasa na ufurahie ladha ya muziki bora wa kisasa!Kila wakati tunakuletea habari na burudani moja kwa moja, ili usipitwe na lolote. Tembelea Misalaba Media kila wakati kwa muziki moto moto na habari za mastaa wako pendwa! Kuwa sehemu ya burudani - bonyeza HAPA na jisikie nyumbani! You Might Like View all
Post a Comment