
Kifo cha baba yetu kilitushitua sana, japokuwa alikuwa mgonjwa kwa muda mrefu. Lakini kilichofuata baada ya msiba ndicho kilitikisa msingi wa familia yetu nzima. Sikuwahi kuwaza hata kwa sekunde moja kwamba tungefunua siri kubwa kiasi kile siri ambayo baba alificha kwa zaidi ya miongo miwili bila yeyote wetu kuijua.
Baba yetu, mzee Joseph, alikuwa mcha Mungu, mtulivu, na mtu wa maamuzi thabiti. Alituzaa sisi watatu na mama yetu ambaye aliolewa naye takriban miaka 30 iliyopita.
Tulikuwa familia ya kawaida, yenye upendo na mshikamano. Kila mtu aliona familia yetu kama mfano wa kuigwa, lakini kumbe kulikuwa na kivuli kikubwa nyuma ya pazia hilo.
Siku chache baada ya mazishi yake, tuliitishwa kwa wakili wake kwa ajili ya kusoma wasia. Ndani ya wasia huo, lilikuwepo jina la mtu mmoja asiyefahamika kwetu kijana aitwaye Daniel, aliyedaiwa kuwa ni mtoto wa baba yetu.

Tulitazamana kwa mshangao huku mama akishika kifua na kushindwa kusema neno lolote. Wakili aliendelea kusoma barua iliyoandikwa kwa mkono na baba, akieleza kwamba Daniel ni mtoto wake wa damu, aliyezaliwa na mwanamke mmoja aliyewahi kuwa mchumba wake kabla hajamuoa mama, lakini kwa sababu za kifamilia, walishindwa kuoana.
Kwa muda wote huo, baba alimsaidia Daniel kisirisiri, akimhudumia kielimu na hata kimali, lakini hakuwa tayari kutufichulia sisi. Daniel mwenyewe aliitwa kuja katika kikao hicho na alipoingia, nilihisi hisia za ajabu alifanana sana na marehemu baba.
Sauti yake, tabasamu lake, hata namna alivyotembea. Hakuhitaji hata vipimo vya DNA kuthibitisha uhusiano huo. Hali hiyo ilituvuruga sana, hasa mama ambaye hakuwahi kupata dalili yoyote kuwa alishirikiana maisha na mwanaume aliyekuwa na mtoto mwingine.
Mama alilia sana na kwa muda alijifungia ndani. Mimi nikiwa mtoto wa kwanza, nilihisi kama dunia imesimama. Nilijawa na maswali mengi: kwa nini baba alificha ukweli huo? Kwa nini hakuthubutu hata kutuambia mpaka uhai wake ukaisha?

Kwa siku kadhaa, sikutaka hata kuongea na Daniel. Niliona kama ametuvamia, kama kashifa katika familia yetu. Lakini muda ulivyoenda, nilianza kujiuliza je, yeye mwenyewe alitaka kuzaliwa katika hali hiyo?
Je, ana makosa gani? Nilipoamua kuzungumza naye kwa faragha, ndipo nilipojua kuwa hata yeye alikuwa na huzuni kubwa ndani yake. Alikuwa ameishi maisha ya siri, akiwa na mzazi mmoja, akijua kabisa kuwa baba yake yupo lakini hawezi kumwonyesha kwa dunia.
Daniel aliniambia kuwa hata yeye alikuwa akiomba sana siku moja apate kukutana na ndugu zake wa damu, lakini hakutaka kuivuruga familia yetu kwa sababu alikuwa ameahidiwa na baba kuwa wakati muafaka ukifika, atasema ukweli. Bahati mbaya, wakati huo haukuwahi kufika.
Nilianza kumwelewa Daniel polepole. Nilijua kwamba angeweza kuwa mtu wa chuki, lakini badala yake alikuja kwa upole, hakuwa na madai ya mali au urithi zaidi ya kuthibitishwa kuwa ni sehemu ya familia.
Hapo ndipo nilijua moyo wa baba yetu haukuwa wa chuki bali wa kulinda. Alitaka kutulinda sisi sote, hata kama kwa kufanya hivyo alibeba siri nzito moyoni mwake.

Lakini bado kulikuwepo na hali ya mzio kati ya mama na Daniel. Ilionekana wazi kuwa mama alihisi kusalitiwa, na hali hiyo ilisababisha nyumbani kujaa ukimya na sintofahamu. Nilijua familia yetu ilikuwa inakaribia kusambaratika kabisa, jambo ambalo hata baba asingependa litokee akiwa kaburini.
Ndipo nilipofanya maamuzi ya kutafuta msaada wa kiroho. Nilielekezwa kwa Kiwanga Doctors, ambao nilikuwa nimesikia sana kuhusu uwezo wao wa kuleta upatanisho na kuondoa mikosi ya kifamilia.
Nilifika kwao nikiwa na wasiwasi, lakini nilishangazwa na jinsi walivyonisikiliza na kunielewa. Walinisaidia kwa kutumia dawa za mitishamba kuondoa hofu, kinyongo na mikosi katika nyumba yetu. Pia walinipa kinga ya kiroho kwa ajili ya mama na Daniel.
Baada ya siku chache, nilishuhudia mabadiliko makubwa. Mama alianza kuonyesha huruma kwa Daniel. Hata alimwalika kwenye chakula cha familia, jambo ambalo halikuwa limetokea kamwe.
Polepole tulianza kuishi kama familia moja, tukimuenzi baba kwa heshima, tukimkumbatia ndugu yetu mpya, na kuendelea na maisha kwa moyo mpya. Leo hii, Daniel ni sehemu ya familia yangu.
Tunafanya biashara pamoja, watoto wetu wanacheza pamoja, na mama anamuita “mwanangu” bila shida. Nikikumbuka jinsi ambavyo yote haya yangesambaratika bila msaada wa Kiwanga Doctors, huwa natetemeka.
Kama una tatizo la kifamilia, migogoro ya urithi, au siri inayotishia ustawi wa familia yako, usisite kuwasiliana na Kiwanga Doctors kupitia: +255 763 926 750. Wanaweza kusaidia kurejesha amani na upendo pale palipojaa vunjiko.
SOMA ZAIDI
Post a Comment