🍺 BASEMBI EXTRA LAGER
MADINI, FAHARI YETU – LADHA INAYOCHANGAMSHA MOYO!
Kama madini yanavyong’aa ardhini, ndivyo BASEMBI inavyong’aa kwenye meza yako! Bia ya kipekee yenye ladha laini, nguvu ya kutosha na ubora wa hali ya juu – ikitengenezwa kwa ustadi mkubwa kutoka Shinyanga, Tanzania.
Kunywa BASEMBI – Extra Lager yenye asilimia 5.8 ya alkoholi – na ufurahie ladha safi ya bia iliyojaa uzalendo wa Kitanzania. Ni chaguo bora kwa wanaojua wanachotaka!
📍 Inapatikana kote nchini Tanzania.
📦 Imebeba fahari ya Kanda ya Ziwa – inawakilisha uzalishaji wa ndani na ubora wa kimataifa.
WASILIANA NASI:
📧 info@eastafricanspirits.co.tz
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
📮 P.O. BOX 707, SHINYANGA – TANZANIA
🛑 HAIFAI KWA WATU WENYE UMRI CHINI YA MIAKA 18
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Post a Comment